Dawa ya mafua yasiyopona

Kikohozi na mafua ni miongoni mwa matatizo ya kiafya ambayo yapo kila siku katika jamii yetu. Hakuna siku hata moja ambayo hospitali au famasi itakosa mgonjwa wa kikohozi au mafua. Wengi wa wagonjwa wa matatizo haya hufika na kuelezea matatizo yao kisha kushauriwa dawa za kutumia na madaktari au wafamasia.

Wengine hufika famasi wenyewe na kusema wanataka dawa fulani. Kwa mfano wengi sana hufika famasi na kusema wanataka dawa za mafua za chenga chenga Nyakati nyingine huwa nacheka na kujiuliza kama wanadhani chenga chenga ndo zinatibu vizuri mafua au hudhani kwamba dawa hizo husaidia kutibu mafua ya aina zote. Sasa ni njia gani nzuri ya kuchagua dawa za kikohozi na mafua? Kikohozi ni sehemu ya kinga ya mwili kukabiliana dhidi ya vitu vigeni na vijidudu vya magonjwa katika njia ya hewa.

Tunakohoa ili kuondoa vitu hivyo viende nje ya mwili. Mafua hutokana na kuzalishwa kwa wingi zaidi kwa ute mucus katika sehemu za juu za mfumo wa upumuaji puani. Yanaweza kuwa mengi zaidi na mepesi kiasi cha kuweza kutiririka au kuwa machache na mazito kiasi cha kuweza kuziba pua. Maambukizi ya vijidudu vya magonjwa hususan virusi Virusi vya mafua Mabadiliko ya hali ya hewa na kuwa na baridi au unyevu zaidiMzio Aleji kutokana na baadhi ya vitu kama vile vumbi, vipodozi, rangi nkUlaji wa pilipili nyingi.

Hakuna dawa moja ambayo inafaa kwa mafua na vikohozi aina zote au vinavyotokana na sababu mbalimbali. Kitu kizuri zaidi kufanya ni kujua chanzo cha mafua au kikohozi chako na kisha kutumia dawa inayofaa zaidi kwa mafua au kikohozi hicho. Njia rahisi zaidi ya kufanya hivyo na kufanikiwa vizuri ni kujieleza vizuri kwa daktari au mfamasia kisha atakushauri dawa nzuri zaidi kwako. Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kikohozi au mafua na matatizo mengine ambayo unaweza ukawa huyajui, kwa hiyo ni bora kumuelezea daktari au mfamasia jinsi unavyojisikia na kumuelezea chanzo cha tatizo lako kama hukumbuki mwambie hukumbuki sababu au chanzo chake ili yeye atafakari zaidi na kukushauri vizuri.

Asali yatajwa kuwa chaguo la kwanza kutibu kikohozi

Dawa kama vile Piriton, Cetirizine na Loratadine ni mahsusi kabisa kwa ajili ya mafua au kikohozi kinachotokana na mzio aleji tu. Na si vinginevyo. Virusi vya mafua na kikohozi havihitaji dawa na hata ukitumia dawa huwezi kuviua wala kuvifanya chochote. Na mara nyingi mafua husababishwa na virusi hivyo, kadhalika na kikohozi. Usitumie dawa za kuua bakteria kwa wadudu hawa maana hazitawafanya chochote na wewe utapoteza muda na hela zako pamoja na kuharibu dawa hizo.

Dawa kama vile Amoksilini, Ampisilini, Ampikloksi, Pen V nk ni kwa ajili ya kutibu magonjwa yatokanayo na bakteria tu. Na si kwa matatizo mengine. Hapa naomba tukazie sana maana watu wengi sana hukosea kwa kununua dawa hizi tu kila mara wanapokuwa na kikohozi.

Tafadhali pata ushauri wa daktari kwanza kabla ya kuanza kutumia dawa hizi na nyingine zote ambazo ni mahususi kabisa kwa ajili ya maambukizi ya bakteria. Hata hivyo nyingi kati ya dawa hizo zina mchanganyiko wa dawa zaidi ya moja na hufaa kwa aina tofauti za kikohozi au mafua.

Pata ushauri kutoka kwa daktari au mfamasia kujua dawa gani ni nzuri sana kwa kikohozi au mafua aina yako. Kama ni mafua yanayochuruzika, mafua yaliyoziba pua, kikohozi kikavu, kikohozi kinachotoa makohozi, ukikohoa kooni panauma na kadhalika.

Kikohozi na mafua ya kawaida huwa na uwezo wa kupona yenyewe bila dawa yoyote ndani ya wiki moja tu. Kwa hiyo unaweza kupona kikohozi au mafua bila kula dawa yoyote endapo utajiepusha na vitu vilivyokusababishia kikohozi au mafua hayo. Kusaidia kutibu maambukizi ambayo ni lazima dawa itumikeKuwahi kupona na kuondokana na matatizo yanayoletwa na kikohozi na mafua.

Kwa hiyo usipotumia dawa sahihi utachelewa kupona tu na hatimaye mafua au kikohozi chako kitapona chenyewe ndani ya hiyo wiki au na siku chache sana. Kukohoa kwa zaidi ya wiki mbili huweza kusababishwa na mazingira duni yanayochangia kikohozi mara kwa mara kwa mfano kupikia jiko la kuni na kuishi kwenye nyumba yenye vumbi na moshi kila sikumaambukizi ya bakteria kama vile wale wanaosababisha kifua kikuu TB au matatizo mengine ya ndani ya mwili.

Endapo utakohoa kwa muda mrefu Zaidi ya wiki mbili basi ni vyema ukaenda hospitali kwa ajili ya uchunguzi, ushauri na matibabu. Kama bibi au babu au baba au mama wa kijijini wanakohoa kwa muda mrefu basi ni vyema kuwarekebishia makazi na mazingira yao na kuwasaidia matibabu mazuri.KIKOHOZI ni ugonjwa unaowapata watu karibu wote, hali ya muwasho kooni pamoja na kuziba kwa baadhi ya sehemu za kupumulia puani, ubongo hutambua kuwa kuna hitilafu katika mwili.

Kukohoa pia kunaweza kuwa ni matokeo ya maambukizi ya virusi, homa, kuvuta sigara au matatizo ya kiafya kama pumu, kifua kikuu na kansa ya mapafu. Badala ya kutumia dawa za viwandani kutibu kikohozi, unaweza kujaribu mojawapo ya hizi dawa za asili za kikohozi ambazo zinapatikana kirahisi jikoni kwako.

Weka kijiko kidogo kimoja cha unga wa binzari ndani ya kikombe kimoja robo lita cha maji ya moto, ongeza ndani kijiko kidogo cha pilipili manga ya unga. Nusu kijiko cha chai cha unga wa mdalasini na kijiko kidogo kimoja cha asali mbichi, koroga vizuri na unywe mchanganyiko huu wote kutwa mara moja kila siku mpaka umepona. Tengeneza chai ukitumia tangawizi mbichi na ndani yake utumie asali na siyo sukari kwenye hii chai yako.

DAWA YA gnbcardio.online gnbcardio.onlineA SUMU MWILINI.

Angalizo, usitumie dawa hii kama una ujauzito mchanga chini ya miezi minne na hata ukiwa na ujauzito zaidi ya miezi minne basi tumia kikombe kimoja tu kwa siku. Unaweza pia kutengeneza juisi ya tangawizi freshi ukiongeza parachichi ndani yake na unywe kwa mtindo huo huo wa chai hapo juu. Limau zina sifa za kuondoa maambukizi, pia lina vitamini muhimu ambayo hupigana na maambukizi na kukuongezea kinga ya mwili, vitamini mhimu sana, vitamini C.

Changanya vijiko vikubwa viwili vya maji ya limau na kijiko kikubwa kimoja cha asali mbichi na unywe mchanganyiko huo mara mbili kwa siku ndani ya siku kadhaa.

Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Kelly aomba kutoka jela, kisa Corona. Corona yaondoa maisha ya Allen Garfield. D ammwagia sifa Wema Sepetu. Chynna Rogers afariki dunia. Virusi vya corona vyakosesha watu burudani msimu wa Pasaka. Ukitaka kupata mwenza sahihi anza kubadili mwenendo wako. Hifadhi Afrika zafungwa kuepuka nyani kuambukizwa corona. Usiwe mwepesi kutoa ushauri kwa mtu. All Michezo Kimataifa Michezo Kitaifa.

Kisa Chama,Simba yaijia juu Yanga. Kocha Simba: Nataka ubingwa wa jasho. Afya na Jamii Slideshow. Kiwanda cha Axel Chemical chabainika kuwa kwenye makazi. Jamii ichukue tahadhari dhidi ya corona. Serikali yataja wanaotakiwa kupata chanjo ya homa ya ini. Please enter your comment! Please enter your name here. You have entered an incorrect email address! Haki zote zimeifadhiwa.Post a Comment.

Mzizi Mkavu. Home Mawasiliano. Mafua yanaweza kuwa moja ya sababu kubwa inayofanya watu wengi kushindwa kwenda kazini, katika shughuli mbalimbali za uzalishaji au kuhudhuria shuleni na kwenda kutafuta msaada wa kitabibu hospitalini.

Ingawa dalili za mafua siyo kali sana na hazidumu kwa zaidi ya majuma matatu, Shirika la Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa la Marekani CDC linasema kuwa, kila mwaka mafua husababisha kupotea kwa siku milioni 22 za mahudhurio shuleni nchini Marekani. Katika utafiti wao Fendrick AM, Monto AS, Nightengale B na Sarnes M uliochapishwa katika jarida la kitabibu la Archival of Internal Medicine toleo la mwakawalibaini kuwa mafua yanaweza kusababisha mzigo mkubwa katika maendeleo ya kiuchumi.

Utafiti huo uliohusisha kaya 4, huko Marekani, ulionyesha kuwa takribani dola bilioni 40 za Marekani hupotea kila mwaka kutokana na magonjwa ya mfumo wa kupumua yatokanayo na virusi vya mafua. Ugonjwa wa mafua unaweza kusababisha hali ya kupiga chafya mara kwa mara, kutokwa na makamasi mepesi au mazito puani, kikohozi, homa kali, na kuziba kwa pua.

Dalili zingine ni pamoja na kichwa kuuma, uchovu wa m wili, kupoteza hamu ya chakula na hali ya kuchochota kooni. Dalili hizi huanza ndani ya saa 16 tokea wakati wa kugusana na virusi au visababishi vya mafua. Na hali huwa mbaya katika kipindi cha saa 24 hadi 72 ambapo virusi huwa vingi katika majimaji yatokayo puani.

Katika kipindi hiki mgonjwa wa mafua huwa na uwezo mkubwa wa kuambukiza watu wengine. Dalili za ugonjwa wa mafua hutegemea zaidi uwezo wa mwili wa kupambana na magonjwa kuliko uwezo wa virusi kushambulia nyama za mwili katika njia ya mfumo wa hewa. Mafua yanaweza kusababisha matatizo makubwa katika mfumo wa kupumua hasa pale yanapoambatana na uambukizo wa pili wa bakteria.

JINSI YA KUCHAGUA DAWA NZURI KWA KIKOHOZI NA MAFUA

Matatizo yanaweza kuwa makubwa zaidi kwa watoto wachanga, wazee au kwa watu wenye upungufu wa kinga mwilini. Mafua pia yanaweza kusababisha ugonjwa wa uambukizo wa bakteria katika matundu ya fuvu la kichwa sinusitisuambukizo katika masikio na koo.

Na katika kipindi hiki mgonjwa hutoa makohozi au makamasi yenye rangi ya njano yanayofanana na usaha. Katika hatua hii, mgonjwa wa mafua anaweza kupata homa kali sawa na mtu mwenye homa ya Malaria. Kimsingi mafua yanasababishwa na uambukizo wa virusi vya mafua. Wataalamu wa maswala ya afya na tiba wanasema kuwa, kuna aina zaidi ya za virusi vinavyosababisha mafua ingawa virusi aina ya rhinoviruses vilivyogunduliwa miaka yandivyo vinasababisha mafua kwa kwa asilimia 30 hadi Mara nyingi mtu anaweza kupata uambukizo wa virusi vya mafua vya aina mbalimbali kwa kipindi kimoja anapoumwa mafua.

Kwa kawaida mafua hutokea zaidi wakati wa mvua na baridi kali. Hii ni kutokana na uwezo wa virusi wa mafua kusambaa kwa kasi wakati wa baridi. Lakini pia katika kipindi cha baridi kali njia ya hewa katika mfumo wa kupumua, huwa kavu kiasi cha kushindwa kukabiliana na virusi wa mafua kwa ufanisi mkubwa.

Mafua pia yanaweza kusababishwa na mzio katika mfumo wa kupumua.

Mafua ya kawaida

Utafiti uliofanywa katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza, ulionyesha kuwa mafua yatokanayo na mzio katika mfumo wa kupumua huchangia kwa asilimia Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Said A. Said kwa kushirikiana na Mabula D.

Mchembe, Phillipo L.Mafua ya kawaida pia mafua ya kuku au mafua tu; kwa Kiingereza : nasopharyngitis, rhinopharyngitisni ugonjwa wa kuambukizwa unaoathiri sehemu ya juu ya mfumo wa upumuajihasa pua na shingo. Dalili ni pamoja na kikohoziutoaji kamasi puani rhinorrheana homa. Dalili kwa kawaida hupotea baada ya siku saba hadi kumi, ingawa baadhi ya dalili zake zinaweza zikakaa hadi wiki tatu.

Mafua ya kawaida husababishwa na virusi mbalimbali; zaidi ya mia mbili zinajulikana kusababisha mafua ya kawaida. Virusi vya jamii ya rinovirusi rhinovirus ndivyo visababishi vikuu. Maambukizo makali ya pua, mianzi ya pua, koo au zoloto maambukizi ya sehemu ya juu ya njia ya hewa: URI au URTI yanabainishwa na eneo la mwili ambalo limeathirika zaidi. Mafua ya kawaida yanaathiri pua, yanavimbisha kolomeo, koo, na yanavimbisha mianzi ya pua.

Dalili zinatokana na mfumo wa kinga unaopambana na maambukizi, si kwa sababu ya uharibifu wa seli mwilini unaoletwa na virusi. Kuosha mikono ni njia ya msingi ya kuzuia maambukizi. Kuna ushahidi unaounga mkono uvaaji kitambaa usoni ni bora zaidi. Hakuna tiba ya mafua ya kawaida, lakini dalili zinaweza kutibiwa. Ni ugonjwa unaoambukiza sana binadamu. Kwa kawaida watu wazima wanaambukizwa mara mbili au tatu kwa mwaka. Kwa kawaida watoto huwa wanapata mafua mara sita au mara kumi na mbili kwa mwaka.

Ugonjwa huo umekuwa ukiambukiza binadamu tangu zamani. Dalili za kawaida za mafua ni pamoja na kikohozi, mafua, kuziba kwa pua, na koo linalouma. Dalili nyinginezo ni pamoja na kuumwa misuli myalgiakuwa mchovu, kuumwa na kichwana kupoteza hamu ya kula.

Kikohozi ni hali inayowapata asilimia 50 ya watu [2] Kuumwa misuli hutokea kwa nusu ya watu. Rangi ya kamasi haionyeshi kama ugonjwa huo umesababishwa na bakteria au na virusi.

Mafua kwa kawaida huanza na uchovu, hali ya kusikia baridikupiga chafyana maumivu ya kichwa. Dalili nyinginezo ni kama vile pua inayotoa kamasi na kikohozi huanza baada ya siku mbili au zaidi. Mafua ya kawaida yanaambukiza kirahisi kwa kupitia njia ya hewa. Virusi aina ya rhinovirus ndio vinavyosababisha asilimia 30 hadi 80 ya mafua ya kawaida. Virusi aina ya rhinovirus vina RNA ya familia ya Picornaviridae. Kuna aina 99 inayojulikana ya virusi katika familia hii ya virusi [10] [11] Virusi nyingine pia husababisha mafua ya kawaida.

Virusi vya mafua ya kawaida vinaenezwa kwa njia moja kati ya njia kuu mbili. Kujaza hewa mapafu au kumeza vitone vya hewa vyenye virusi.Mafua ni ugonjwa unaosumbua watu kila mwaka, hasa yanapoanza hutokea mabadiliko ya kimwili ikiwemo sehemu za viungio vya mwili kama miguu, mikono na sehemu zingine. Utafiti unaonesha kwamba ulaji wa vyakula vyenye Vitamin C kwa wingi kila siku husaidia kuondoa au kuzuia ugonjwa wa mafua.

Miongoni mwa vyakula vyenye kiwango kikubwa cha Vitamin C ni pamoja na machungwa, mboga za majani aina ya Brokoli na pilipili kali. Inashauriwa kuwa ila unapokua machungwa basi hakikisha kuwa unakula na pamoja na nyama zake za ndani au kunywa juisi yake. Unywaji wa maziwa ya mtindi ni moja ya njia inayosaidia kupunguza ugonjwa huo, hii ni kutokana na kuwa maziwa hayo yana kiwango kikubwa cha protini na mtu mwenye mafua hupunguza kukoha kwa kunywa maziwa hayo.

Asali ni dawa kubwa sana ya magonjwa mbalimbali, ila ukichanganya asali na tangawizi husaidia kutibu mafua na kifua, hii ni dawa nzuri sana kwani haina madhara yoyote unaweza kutumia kwa kuiramba ama kwa kuichanganya katika chai. Related Articles. Mgonjwa mwingine wa Corona aongezeka Tanzania, Sasa wafikia 25 10 hours ago. Sekta mbalimbali zinavyoshirikiana katika kupambana na Virusi vya Corona Tanzania 4 days ago. Vifahamu vyakula vitakavyokusaidia kuimarisha kinga yako mwilini na kukukinga dhidi ya Virusi mfano Corona 5 days ago.

Close Search for. Bongo5 FREE.W ako watu ambao tatizo la mafua kwao limeshakuwa kama sehemu ya maisha yao yaani wiki haiishi hujamwona ana mafua. Na kama ulikuwa hufahamu kuna aina mbili za mafua,yapo mafua yanayopona na mafua ambayo ni ya kuzaliwa haya huwa hayaponi kabisa. Kimsingi mafua yanasababishwa na uambukizo wa virusi vya mafua.

Wataalamu wa maswala ya afya na tiba wanasema kuwa, kuna aina zaidi ya za virusi vinavyosababisha mafua ingawa virusi aina ya rhinoviruses vilivyogunduliwa miaka yandivyo vinasababisha mafua kwa kwa asilimia 30 hadi Kiwale11 blog imezungumza na daktari Makwale kutoka kituo cha Afya cha Maria Stopes jijini mbeya. Bonyeza hapa chini umsikie kwa uzuri kabisa anatupatia elimu zaidi juu ya tatizo la mafua na utafahamu kwa nini kuna mafua yanayopona na yasiyopona.

Post a Comment. Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook. Marafiki Duniani Live Traffic Stats. CHUMVI ni aina ya madini yenye umuhimu na faida nyingi, kwa mtumiaji, ikiwa atatumia kwa kiasi kinachotakiwa kwenye mlo wake. Kwa maisha ya Tambua madhara ya kunywa Soda. Kuna mjadala mkali unaendelea kuhusu vinywaji baridi hususani soda, baada ya utafiti wa hivi karibuni kuonyesha kuwa soda inaweza kuwa na Nimekuwekea hapa mkwaju mpya wa kijana wa Manzese Ney wa mitego akiwa na Diamond etiii nikuulize swali wewe waonaje ni Mapenzi au Pesa?

Tambua Madhara ya Sindano za uzazi wa mpango UTAFITI umebaini kuwa sindano za uzazi wa mpango zinachangia kasi ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi,kwa kuwa zina vichocheo vingi ambavy Zijue faida za ajabu za kula karanga.!

Wengi wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Je wafahamu athari za kujifungua kwa njia ya upasuaji? Kujifungua kwa upasuaji au operesheni kumekuwa mtindo,huku idadi ya operesheni ikiongezeka katika nchi zote duniani, na kuwatia wasiwasi Exclusive: Makala ya kusisimua kuhusiana na maisha magumu ya mdogo wake Obama. Obama's slumdog brother: Kutana na mlevi asiye na matumaini aishie jijini Nairobi ambaye ni mdogo wake na rais wa Marekani Makal Fahamu Siri ya herufi ya mwanzo ya Jina lako Je Unajua Siri ya herufi ya mwanzo ya jina lako?.

Soma hapa utaweza kuelewa Tabia zako au tabia za rafiki au mpenzi wako. Sokwe wanajua upishi wa vyakula!!!! Wanasayansi kutoka Marekani wana imani kuwa sokwe wana uwezo na akili ya kupika chakula.

Uuzaji holela wa Antibayotiki moja ya sababu za us Askari wa Ufaransa wanajisi watoto CAR Akatazwa shule kwa kuvaa sketi ndefu.!!!! Mawasiliano ya kijamii yakatwa Burundi…!!! Pacquiao atamba kumchakaza Mayweather.!! Indonesia yajitetea kwa kuwaua wauza Unga 8!!! Kahawa ya Tanzania hatarini kutoweka Shilingi ya Tanzania yazidi kuporomoka…… Indonesia yawanyonga wauza mihadarati.

Je,wewe hupatwa na maumivu ya mgongo? Kesi ya ndoa za jinsia moja kusikizwa US…… Mayweather na Pacquiao wakosolewa!!! Mahakama Kuu Kenya yabariki chama cha mashoga!!!!

David Petraeus alitoa siri za Jeshi.W ako watu ambao tatizo la mafua kwao limeshakuwa kama sehemu ya maisha yao yaani wiki haiishi hujamwona ana mafua. Na kama ulikuwa hufahamu kuna aina mbili za mafua,yapo mafua yanayopona na mafua ambayo ni ya kuzaliwa haya huwa hayaponi kabisa. Kimsingi mafua yanasababishwa na uambukizo wa virusi vya mafua. Wataalamu wa maswala ya afya na tiba wanasema kuwa, kuna aina zaidi ya za virusi vinavyosababisha mafua ingawa virusi aina ya rhinoviruses vilivyogunduliwa miaka yandivyo vinasababisha mafua kwa kwa asilimia 30 hadi Kiwale11 blog imezungumza na daktari Makwale kutoka kituo cha Afya cha Maria Stopes jijini mbeya.

Bonyeza hapa chini umsikie kwa uzuri kabisa anatupatia elimu zaidi juu ya tatizo la mafua na utafahamu kwa nini kuna mafua yanayopona na yasiyopona.

Post a Comment. Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook. Marafiki Duniani Live Traffic Stats. CHUMVI ni aina ya madini yenye umuhimu na faida nyingi, kwa mtumiaji, ikiwa atatumia kwa kiasi kinachotakiwa kwenye mlo wake. Kwa maisha ya Tambua Madhara ya Sindano za uzazi wa mpango UTAFITI umebaini kuwa sindano za uzazi wa mpango zinachangia kasi ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi,kwa kuwa zina vichocheo vingi ambavy Zijue faida za ajabu za kula karanga.!

Wengi wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Nimekuwekea hapa mkwaju mpya wa kijana wa Manzese Ney wa mitego akiwa na Diamond etiii nikuulize swali wewe waonaje ni Mapenzi au Pesa? Faida ya ndizi mbivu katika mwili wa binadamu. Ni kinga dhidi ya magonjwa ya moyo, presha, vidonda vya tumbo, saratani ya figo, kukosa choo Ndizi mbivu ni tunda ambalo linafahamika na k Unafahamu kuwa kuna mafua yasiyopona kabisaa.???

Unajua kwa nini unapiga mihayo Kwa kawaida upigaji wa miayo huashiria kuchoka kwa mwili, akili au kujisikia kuchoshwa na jambo au hali fulani. Hali hii hutokea bil


Replies to “Dawa ya mafua yasiyopona”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *